MORNING VIBE
Kipindi hiki kinakujia kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 asubuhi. Kipindi hiki kinaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili.
06:00 – 06:30am | BBC SWAHILI HABARI |
---|---|
06:30 – 07:00am | AMKA NA MORNING VIBE |
07:00 – 07:10am | BBC SWAHILI HABARI |
07:10 – 08:00am | UCHAMBUZI WA MAGAZETI |
08:00 – 09:00am | DOZI YA SIKU,HABARI KWA KINA |
09:00 – 09:45am | MAHOJIANO NA SMS |
09:45 – 10:00am | HABARI ZA BIASHARA ,DONDOO ZA MICHEZO |
The Package
Sponsorship package price are negotiable
Send EmailPRESENTER

PETER ABDALA

EDWIN REGINALD
