AMAIZING PRAISE
Kipindi hiki kinakujia kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 7 mchana hadi saa 10 jioni. Kipindi hiki kinaendeshwa kwa lugha ya Kiswahili.
13:00 – 13:10pm | HABARI |
---|---|
13:10 - 13:30pm | BURUDANI,NYOTA MPYA,NYIMBO MPYA ILIYO TUFIKIA |
13:30 – 14:00pm | TATU KALI ZA GOSPEL |
14:00 – 14:45pm | NISAIDIE NITOKE |
14:45 – 15:15pm | INTERVIEW KWA WASANII WA GOSPEL |
15:15 – 16:00pm | JE? UMEUNGANISHWA |
Mdhamini wa kipindi hiki atapewa matangazo manne kwa kila kipindi, Matangazo mawili ya nyongeza nje ya kipindi, Tangazo kudokezwa mara nne na watangazaji, Mdhamini kupata mahojiano ndani ya kipindi,Kaulimbiu Ya kampuni ya mdhamini itatajwa mara mbili kila baada ya lisaa limoja
To see Sponsorship package click here
PRESENTER

VERONICA MWENDA
